Kuna habari zimezagaa kwa wabongo waishio China inasemekana aliyekuwa Miss Kiswahili 2009 wengi tukimjua kwa jina la Rehema Fabian amekamatwa na unga nchini humo.
Marafiki wa karibu wa Rehema ambao waliomba nisiwataje wamesema kuwa Rehema aliondoka kuelekea Shaghai wiki moja iliyopita halafu juzi ndio wao walipewa habari kuwa rafiki yao kakamatwa na kosa jingine alilokuwa nalo ni aliova stay kwasababu VISA yake ilikuwa imekwisha kitambo. Kama kuna ndugu yake yoyote ameona habari hii mnaombwa mfikishieni habari hivi mama yake mzazi ili ajue.