HAPA nilikuwa Moshi Fm Radio katika mahojiano mafupi kuhusu Show niliokusudia kufanya katika mkoa wa Kilimanjaro.
Sikuwa peke yangu niliambatana na Masele Chapombe, Kazi Kijeba na Tabitha, Wachekeshaji wenzangu kutoka kundi la VITUKO SHOW.
Nilitumia Gari hili kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale mjini Moshi.
Masai Nyotambofu na Kazi kijeba
Masai Nyotambofu na Masele Chapombe
Mapokezi Ya hoteli niliofikia.
Hapa ni Nyumbani kwa Promotor Vicent alieandaa Show hio katika ukumbi wa Gleshaz maeneo ya Shant town huko mjini Moshi.
Nipo na mtangazaji wa Moshi Fm Bahati Mustapha almaarufu (BM)
Kama kawaida na mwenyeji wangu kulia na Bm kushoto
Full Bata...
Mimi na wanangu kama kawaida
Sikusita kutembelea Soko la maimoria
Masele cha pombe
Tabitha Shotii
Watoto
Cheki wanavyoendana
Nipo na ''Emma wa milazo'' Katikati na ''Bm'' Kulia.
Baada ya Show maeneo ya Gleshaz pack Shant town Moshi Mjini.
Tulivyofika Gleshaz kabla ya Show.
Tabitha kwa makuzi tu hajambo!
!!! Weewe!
Gleshaz park
"Aghmada"
PICHA NA Mwandishi wa Masai Nyotambofu