mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Sinza E amepata ajali ya kugongwa na bodaboda maeneo ya vatican karibu kabisa na kituo cha lion.
mwendesha bodaboda mwenye koti jeusi na pensi ndiye mmiliki wa pikipiki hiyo
Wananchi wakimpakia mwenyekiti huyo kwenye gari la Msamalia mwema tayari kwa kumpeleka hospitali ya palestina sinza.