SHOW YA MALKIA WA BONGO MOVIE AKA WEMA SEPETU, KUANZA KURUSHA OTOBA HII NA CHANEL HII HAPA Tunayo furaha kumkaribisha malkia wa #BongoMovie na ulimbwende Tanzania Wema Sepetu na reality show yake #InMyShoes itakayoanza Oktoba hii