Msichana aliyejitangaza kuwa anahitaji mume wa kumuoa hatimae amepewa makavu live na wanaume na kusema kuwa huenda akili ya bint huyo haiko sawa kwa kitendo alichokifanya.
Hii ndiyo taarifa aliyoitoa dada huyo
Mimi ni binti mjasiliamali ambaye nimechoka kuishi peke yangu na sasa nahitaji mwanaume wa ndoa anayejiheshimu na anayejua kupenda.Umri wangu ni miaka 25, elimu yangu ni form six.
Asilimia kubwa ya wanaume ni wasumbufu na wana wanawake wengi,kitu ambacho kwa upande wangu sikitaki maana najijua nina wivu....
Kwa yeyote mwenye sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema ambaye atanipenda kwa dhati na hatanisaliti basi anijibu kupitia email yangu.
Kwa upande wangu namhakikishia kuwa ntampenda kwa dhati, Sitamsaliti, ntamheshimu na ntawapenda ndugu na jamaa zake wote kwa moyo wangu wote.
Mawasiliano:
Email yangu ni nancybast4@yahoo.com