Akiongea na blog hii usiku
wa leo mwanadada snura amesema'' ataakikisha anakata kiu ya wapenda
miuno wote kwenye video ya wimbo wake wa nimevurugwa'' nitawavuruga
kweli na miuno mwanzo mwisho. jumatano ijayo ya tar 02/10/ nategemea
kuanza shooting ya wimbo wangu wa nimevurugwa, mashabiki wangu wakae
tayari kupata kile kitu walichokuwa wanhitaji kwa muda mrefu sana na
walichokimiss kwenye wimbo wangu wa majanga.
Pia ametoa nafasi kwa watu
mbalimbali watakaopenda kuonekana katika video hiyo ya nimevurugwa
wapige simu no 0786621193.au 0713020560.
snura mushi.