Habari za sasa kutoka Kenya ni kwamba watu wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia kituo cha Polisi katika Mji wa Mandera nchini Kenya kwenye mpaka na Somalia na kuwaua polisi wawili, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma magari zaidi ya 11.
Jana pia kulikua na shambulio sehemu inaitwa Wajir kwenye shopping centre ambapo mtu mmoja alifariki… kuna taarifa nyingine zinazidi kuja ila nasubiria tu uthibitisho ili niwezi kuziweka hapa mtu wangu.