Wanamuziki wengi wanapoongelea kifo tunajiuliza ni kwa nini, na wengine
hawapendi kusikia habari za vifo kabisa lakini itakumbkwa wimbo Dr.Remmy
Ongala kifo ulikuwa maarufu sana . Hatimaye naye Diamond Platinumz
kafata nyayo hizo sikiliza kibao hicho kwa kubofya hapa.