AL- SHABAAB WALIPUA KITUO CHA POLISI NCHINI KENYA LEO HII, POLISI WAWILI WASAMBARATISHWA VIBAYA NA MAROKETI YA KUTUNGULIA VIFARU! Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa watu wanaozaniwa kuwa ni magaidi wamevamia kituo cha Polisi katika Mji wa Mandera nchini Kenya na kuwaua polisi wawili, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma magari zaid ya 11